TABORA UNITED WAMALIZANA NA TFF

 TFF kupitia Bodi ya Ligi Kuu imeruhusu matumizi ya uwanja wa Ali Hassan Mwinyi uliopo Tabora kuendelea kutumika baada ya kukidhi vigezo walivyowekewa.Uwanja huo unaotumiwa na Tabora United ulizuiliwa kwa muda kutokana na uchakavu wa eneo la kuchezea.


Mara baada ya kufungwa Uongozi wa timu hiyo ulianza marekebisho ya haraka ili kukidhi matakwa ya bodi na sasa umeruhusiwa kuendelea kutumika kwa michezo ya ligi kuu ya NBC na kombe la Shirikisho la CRDB

Barua kutoka TFF



Post a Comment

0 Comments