Tukiwa mapumzikoni kupisha michuano ya AFCON 2025 inayofanyika nchini Morocco Bodi ya Ligi chini ya TFF imeendelea na majukumu yake kwa kutoa adhabu mbalimbali kwa wachezaji na vilabu vilivyovunja kanuni katika mechi zilizopita .
Hii ni barua rasmi ya adhabu iliyotolewa mchana wa leo na bodi ya ligi.




0 Comments