Klabu ya Manchester City imeamka usingizini na kuonyesha dhamira ya kutetea ubingwa wa EPL msimu wa 2025/26 baada ya kuibuka na ushindi 2-1 dhidi ya kinara wa Ligi Arsenal
Katika mchezo huo mgumu uliopigwa Dimba la Etihad jijini Manchester uliishuhudia City ikipata bao la uongozi dakika ya kupitia kwa Ryan Cherki dakika ya 16 lakini Kai Harvert alisawazisha bao hilo dakika ya 18 na kipindi cha kwanza kumalizika kwa Sare ya bao 1-1.
Kipindi cha pili kilianza kwa kasi kwa pande zote mbili dakika ya 65 City walipata bao la pili kupitia kwa halaand na mchezo huo kumalizika kwa Manchester City 2-1 Arsenal.
Matokeo hayo yanawafanya City kusalia nafasi ya pili wakiwa na alama 67 katika Michezo 31 huku Arsenal wakiwa nafasi ya kwanza na alama 70 katika Michezo 32.
Mechi zilizosalia kwa Arsenal
Mechi zilizosalia kwa Manchester City



0 Comments